Wednesday, October 31, 2012

SINTAH ATOA RUKSA


10/31/2012


SINTAH ATOA RUKSA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBAZWA MTANDAONI


MSANII wa filamu bongo, Christina John 'Sintah' ameruhusu kwa yeyote alieona picha yake yeyote ya utupu aisambaze mtandaoni kwani huo ujinga wakupiga picha hizo
Sinta amesema tangu azaliwe hajawai kupiga picha za utupu na kuomba kama kunamtu amewai kuziona picha zake aziweke kwenye mtandao watu waone ujinga wake

"ALIYE NA PICHA ZANGU ZA UCHI AZIWEKE HADHARANI ILI WATU WAONE UJINGA WANGU".....alisema Sintah



No comments: