Thursday, December 13, 2012

HATIMAYE SIMBA IMETHIBITISHA KUVUNJA MKATABA WAKE NA KOCHA WAKE.

.
Hatimae club ya Simba imethibitisha kuvunja mkataba na kocha wake Mserbia Milovan Cicovic ambapo sasa wanatarajia kumtambulisha kocha mpya kutoka Ufaransa.
Namkariri afisa habari wa Simba Ezekiel Kamwaga akisema “huyu kocha ana uzoefu mkubwa sana zaidi ya ukocha wa kufundisha timu kubwa alianzia maisha kwenye Academy, amepitia Academy ya ufaransa ambayo ni maarufu sana na ndiyo iliyotoa kina Thiery Henry wakati huo, mbali na timu kubwa atatutengenezea mfumo mzuri wa kutengeneza timu yetu ya vijana, sasa hivi Tanzania tunashindana na timu mbili za mamilionea”

.
Kwenye line nyingine Kamwaga amesema “atasaidia kukuza viwango vya wachezaji wetu, kama atakua na Simba nzuri manake na timu ya taifa pia itafaidika kwa sababu Simba ndio tegemeo la timu ya taifa ya Tanzania”
Kuhusu ishu nzito ya kumuuza mchezaji Mrisho Ngassa kwenda kucheza Sudan Kamwaga amesema “sisi tumeshakubaliana na Azam kwamba Ngassa akiuzwa basi tutagawana nusu kwa nusu lakini cha msingi Ngassa hawezi kuchezea timu nyingine hapa Tanzania ambayo siyo Simba kwa sababu tuna mkataba nae unaoisha May, Ngassa bado ni mchezaji wetu na tunataraji kwamba mwishoni mwa wiki hii atajiunga kwenye mazoezi na wenzake kwa ajili ya kujiandaa sasa na ligi kuu ya Tanzania na michuano ya kimataifa”
“Wanasema yeye aliongea na hiyo timu ya Sudan na kukubaliana kulipwa dola za kimarekani elfu 70 kwa hiyo Kama atataka kwenda Sudan atakwenda, kama hatokwenda sisi tutamtumia lakini hatuwezi kumpandisha ndege au kumlazimisha, kama atakwenda tutampa ushirikiano kwa asilimia 100 na kama hatotaka kwenda pia tutampa ushirikiano kwa asilimia 100″ – Kamwaga
Kwenye sentensi ya mwisho Kamwaga amesema mlinda mlango namba moja Afrika Mashariki anaetokea Uganda ameshaingia Dar es salaam tayari na anafanyiwa vipimo vya Afya kwenye hospitali moja na kama atafaulu basi atasajiliwa na Simba.

NIGERIA KWENYE NEXT LEVEL KUTENGENEZA UMEME.

.
Wakati nchi nyingi za Africa bado zipo kwenye kitendawili ya kupata umeme wa uhakika ikiwemo Tanzania, serikali ya mji wa Lagos Nigeria imetangaza kuanza kuufanyia kazi mpango wa kutengeneza umeme kutokana na takataka.
Managing Director wa mpango huo Ola Oresanya amesema umeme utaanza kufanya kazi 2013.

HIKI NDICHO WALICHOSEMA SIMBA KUHUSU KUVUNJA MKATABA NA MILOVAN, PIA KUHUSU MRISHO NGASSA.NGASSA

.
Hatimae club ya Simba imethibitisha kuvunja mkataba na kocha wake Mserbia Milovan Cicovic ambapo sasa wanatarajia kumtambulisha kocha mpya kutoka Ufaransa.
Namkariri afisa habari wa Simba Ezekiel Kamwaga akisema “huyu kocha ana uzoefu mkubwa sana zaidi ya ukocha wa kufundisha timu kubwa alianzia maisha kwenye Academy, amepitia Academy ya ufaransa ambayo ni maarufu sana na ndiyo iliyotoa kina Thiery Henry wakati huo, mbali na timu kubwa atatutengenezea mfumo mzuri wa kutengeneza timu yetu ya vijana, sasa hivi Tanzania tunashindana na timu mbili za mamilionea”
.
Kwenye line nyingine Kamwaga amesema “atasaidia kukuza viwango vya wachezaji wetu, kama atakua na Simba nzuri manake na timu ya taifa pia itafaidika kwa sababu Simba ndio tegemeo la timu ya taifa ya Tanzania”
Kuhusu ishu nzito ya kumuuza mchezaji Mrisho Ngassa kwenda kucheza Sudan Kamwaga amesema “sisi tumeshakubaliana na Azam kwamba Ngassa akiuzwa basi tutagawana nusu kwa nusu lakini cha msingi Ngassa hawezi kuchezea timu nyingine hapa Tanzania ambayo siyo Simba kwa sababu tuna mkataba nae unaoisha May, Ngassa bado ni mchezaji wetu na tunataraji kwamba mwishoni mwa wiki hii atajiunga kwenye mazoezi na wenzake kwa ajili ya kujiandaa sasa na ligi kuu ya Tanzania na michuano ya kimataifa”
“Wanasema yeye aliongea na hiyo timu ya Sudan na kukubaliana kulipwa dola za kimarekani elfu 70 kwa hiyo Kama atataka kwenda Sudan atakwenda, kama hatokwenda sisi tutamtumia lakini hatuwezi kumpandisha ndege au kumlazimisha, kama atakwenda tutampa ushirikiano kwa asilimia 100 na kama hatotaka kwenda pia tutampa ushirikiano kwa asilimia 100″ – Kamwaga
Kwenye sentensi ya mwisho Kamwaga amesema mlinda mlango namba moja Afrika Mashariki anaetokea Uganda ameshaingia Dar es salaam tayari na anafanyiwa vipimo vya Afya kwenye hospitali moja na kama atafaulu basi atasajiliwa na Simba.

Chelsea ease into Club World Cup Final

Juan Mata     

Chelsea mark their Club World Cup debut with a 3-1 win over Mexican side Monterrey to secure their place in the final.

JE THE GUNNER WATABAKI NAMZEE WENGER?

-ArneGunner
How many likes for Jack Wilshere ? <3

http://www.facebook.com/JackWilshereArsenalsNr19

-ArneGunner
Hatakama JACK WILSHERE hataondoka Arsenal Je WENGER anaifaa ARSENAL  kwa sasa?

RAY C AKUBALIANA NA HALI YA AFYA YAKE

Hatimaye Ray C (Rehema Chalamila) apona, amshukuru Rais Kikwete kwa msaada wa matibabu!

Rais amempongeza Ray C kwa kukubali hali yake ya kiafya na hatimaye kukubali kupata matibabu ambayo bado anaendelea nayo chini ya uangalizi maalum...
 
PICHA 10 ZA MAPOKEZI YA PETER MSECHU AKITOKEA MAREKANI DEC 11 SAA TANO USIKU.

Peter Msechu amekua Marekani toka july 2012 ambako alikwenda kwa shughuli moja tu ambayo ilimfungulia milango na kupada dili zilizomuweka huko kwa miezi mitano, leo atazungumza yote kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM kuanzia saa moja kamili usiku mpaka saa tatu.
Msechu akikumbatiana na mkewe mtarajiwa.
Huyu ndio mke mtarajiwa wa Peter Msechu na mtoto wao aliezaliwa mwaka huu.
.
.
.
.
.
.

KAULI YA CHADEMA KUHUSU MAGUFULI KUMPIGIA DEBE ODINGA KENYA.

Mkurugenzi wa  mambo ya  nje   na Ushirikiano  wa Kimataifa EZEKIEL WENJE
Mwenyekiti wa  chama cha demokrasia CHADEMA kimeitaka  Serikali kutolea ufafanuzi suala la WazirI wa ujenzi Dr. John Magufulu kuhudhuria  Sherehe  za kutambulishwa kwa mgombea urais chama cha ODM Kenya Raila Odinga endapo suala hilo lina uhusiano wowote wa Kiserikali.
Mkurugenzi wa mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Ezekiel Wenje amesema kitendo cha waziri huyo kuhudhuria sherehe za kutambulishwa wa Raila kinatoa picha mbaya ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Kenya iliyopo  Madarakani kutokana  na ushirikiano wa muda mrefu kati ya serikali hizo.
kwenye sentensi nyingine Wenje amesema Magufuli kupanda jukwaani kuanza kumnadi kiongozi wa ODM ni ukiukwaji wa kanuni na taratibu za kimataifa ambapo amedai kwa mujibu wa kanuni za Umoja wa mataifa ni kosa kubwa Taifa moja kuingilia siasa za Taifa jingine hata kama hayo mataifa yanaushirikiano wowote.
Swansea reach League Cup semi Swansea City reach the semi-finals of the League Cup for the first time in their history after a Middlesbrough own goal.
Wenger 'will get transfer boost' Arsenal boss Arsene Wenger has "considerable resources" to spend during January, the Supporters' Trust are told.

KAULI YA FAMILIA YA MAREHEMU SHARO MILIONEA KUHUSU SAUTI YA SHARO KUENDELEA KUTUMIKA KWENYE TANGAZO LA AIRTEL

Posted: 13th December 2012 by Baraka in News
.
Ni watu wengi wamehitaji kufahamu kuhusu kauli ya familia ya Marehemu mwigizaji/msanii Sharo Milionea baada ya tangazo la Airtel lenye sauti yake kuendelea kutumiwa na kampuni hiyo wiki kadhaa baada ya Sharo kufariki kwa ajali ya gari iliyotokea novemba 26 2012 Tanga.
Mjomba wa Marehemu ambae ndio msemaji wa familia Shaban Mkiete amethibitisha kwamba wamezungumza na kukubaliana na kampuni ya Airtel na hapa namkariri akisema “ni kweli tumekubaliana, kwa mujibu wa makataba wao lilikua linaisha terehe 31 mwezi huu tumekubaliana kwamba liendelee kwa makubaliano ambayo tumekubaliana nayo sisi kati ya mzee Majuto ambae bado yupo na familia ya Marehemu, mama mzazi wa Sharo Milionea ameridhia hilo hakuna tatizo”
Siku ya msiba millardayo.com ilipopata nafasi ya kuongea na mwakilishi wa Airtel alisema Marehemu Sharo Milionea alifariki ndani ya kipindi cha miezi 6 tu toka asaini dili la kuwa balozi wa Airtel na kufanya matangazo mbalimbali yeye na mzee Majuto.
Mama mzazi wa Marehemu.
Sio tu dili la Airtel, imefahamika tayari Sharo Milionea alikua amesaini mikataba mizuri na makampuni mbalimbali wakiwemo Wamarekani waliotengeneza filamu maarufu Afrika kama Yellow Card, Neria na nyingine ambapo kwa sasa Wamarekani hao wako hapa Tanzania na wametengeneza series kadhaa ikiwemo Wahapahapa na Siri ya Mtungi ambayo ndio Sharo Milionea kashiriki ndani na mpaka anafariki tayari alikua ameshaanza kucheza igizo hilo.
Unaweza kumsikiliza mjomba wa Marehemu akiongea hapo chini.

HAYA NDIO MAGAZETI YA DEC 13 2012, UDAKU MICHEZO NA HARDNEWS.

Posted: 13th December 2012 by  Baraka marwewre in News
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Arab uprisings