BURKINA FC YATANDIKWA NA MKAMBA RANGERS 1-0 JAMHURI MOROGORO.- LIGI DARAJA LA KWANZA
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Mkamba Rangers Msafiri
Makambi kulia akichuana na mchezaji wa Burkina FC, Saidi Manga wakati wa mchezo
wa ligi daraja la kwanza uliowakutanisha timu zote za mkoa wa Morogoro kwenye
uwanja wa Jamhuri mkoani hapa ambapo katika mchezo huo Burkina ilifungwa bao
1-0.

TIMU ya soka ya Burkina FC imeendeleza kugawa pointi mbele ya Mkamba
Rangers katika mchezo zote za Morogoro katika mkali wa ligi daraja la kwanza
baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kikiwa ni cha pili mfululizo kwenye uwanja
wake wa nyumbani mchezo uliofanyika uwanja wa Jamhuri mkoani
hapa.
Mshambuliaji Athman Msafiri ndiye aliyezamisha jahazi la Burkina FC
baada ya kuifungia timu yake bao katika dakika ya 76 kwa kichwa kufuatia mpira
wa adhabu ndogo uliochingwa na Kamugisha Edson nje ya 18 kufuatia mlizni wa
Burkina FC, Peter Damian kumfanyia madhambi mchezaji wa Mkamba Rangers na
kufunga bao hilo lililomuacha Mohamed Barakati asijue la kufanya na mpira kujaa
wavuvi.
Licha ya kupata kipigo hicho cha kupoteza mchezo wa pili pia kocha
mkuu wa timu hiyo ya Burkina FC, Damian Mussa amejikuta akimaliza mchezo katika
jukwaa la mashabiki baada ya kuondolewa katika benchi la ufundi na mwamuzi wa
mchezo huo Mary Kapinga kutoka Songea dakika ya 44 kufuatia kutupiana maneno
makali na mashabiki wake.
Katika mchezo huo Burkina FC walicheza chini ya uwezo wao na
kusababisha kukaribisha mashambulizi ya mara kwa mara lango kwao baada ya
kushindwa kucheza kwa maelewano huku Mkamba wakitumia nafasi hiyo kutengeneza
mashambulizi kwa wapinzani wao.
Kocha mkuu wa Mkambara Rangers Keneth Mkapa alisema kuwa ushindi huo
umempa faraja na kuongezea morali kwa wachezaji baada ya kupoteza mchezo wao wa
ufunguzi na kufungwa bao 2-0 na Polisi Iringa wakati mchezo ujao ukitarajia
kucheza na Small Kids ya Rukwa Oktoba 31 mkoani Rukwa huku Kocha wa Burkina
akishindwa kupatiakana kuzungumzia mchezo huo.
Wakati Mkamba ikitarajia kucheza na Small Kids katika mchezo wa tatu
yenyewe Burkina FC itachuana na Majimaji ya Songea Oktoba 31 kwenye uwanja wa
Majimaji mwaka huu baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza na Mbeya City kwa
kupachikwa bao 1-0 kwenye uwanja wa
Jamhuri.

No comments:
Post a Comment