Sunday, November 25, 2012

CHELSEAvMAN CITY, NI MTANANGE WA KUFA MTU.

THE BIG MATCH: CHELSEA v MAN CITY (Stamford Bridge)

Baada ya Chelsea kuwekwa njia panda kwenye Champions League, huku Man City wakiyaaga mashindano hayo, huku zengwe la kutimuliwa kwa Roberto Di Matteo likiendelea kuunguruma, uteuzi mpya wa Rafael Benitez unaanza kupimwa rasmi leo! Je, ataweza? Unatabiri vipi mtanange huu? Je, unafikiri atakata KIU ya  ABRAMOVICH leo? hebu tusubili tuone.
|| SOKA || SOKA || SOKA || SOKA || SOKA || SOKA || SOKA ||

THE BIG MATCH: CHELSEA v MAN CITY (Stamford Bridge)

Baada ya Chelsea kuwekwa njia panda kwenye Champions League, huku Man City wakiyaaga mashindano hayo, huku zengwe la kutimuliwa kwa Roberto Di Matteo likiendelea kuunguruma, uteuzi mpya wa Rafael Benitez unaanza kupimwa rasmi leo! Je, ataweza? Unatabiri vipi mtanange huu? Dondosha comments zako na utuambie unachofikiria!!

Other matches:
Swansea v Liverpool (Liberty Stadium)
Southampton v Newcastle (St. Mary's Stadium)
Tottenham v West Ham (White Hart Lane)

No comments: