Paris Saint-Germain (Ufaransa) – Chelsea (Uingereza)
Manchester City (Uingereza) – Barcelona (Uhispania)
Bayer Leverkusen (Ujerumani) – Atletico Madrid (Uhispania)
Juventus (Italia) – Borussia Dortmund (Ujerumani)
Schalke 04 (Ujerumani) – Real Madrid (Uhispania)
Shakhtar Donetsk (Ukrein) – Bayern Munich (Ujerumani)
Arsenal (Uingereza) – Monaco (Ufaransa)
Basel (Uswisi) – Porto (Ureno)
Bayer Leverkusen (Ujerumani) – Atletico Madrid (Uhispania)
Juventus (Italia) – Borussia Dortmund (Ujerumani)
Schalke 04 (Ujerumani) – Real Madrid (Uhispania)
Shakhtar Donetsk (Ukrein) – Bayern Munich (Ujerumani)
Arsenal (Uingereza) – Monaco (Ufaransa)
Basel (Uswisi) – Porto (Ureno)
Michuano ya kwanza ya raundi ya pili itachezwa tarehe 17 – 18 na 24 – 25 Februari 2015, na mechi za marudiano nazo zitachezwa tarehe 10 – 11 na 17 – 18 Machi 2015.
Fainali ya UCL itachezwa tarehe 6 Juni 2015 kwenye uwanja wa Olymipic Stadium ulioko katika mji mkuu wa Berlin nchini Ujerumani
Ratiba kamili ya mechi za UEFA Europa League ni kama ifuatavyo;
- Young Boys - Everton
Torino - Athletic Bilbao
Sevilla - Mönchengladbach
Wolfsburg - Sporting
Ajax - Legia Varşova
Aalborg - Club Brugge
Anderlecht - Dinamo Moskova
Dnipro - Olympiakos
Trabzonspor - Napoli
Guingamp - Dinamo Kiev
Villarreal - Salzburg
Roma - Feyenoord
PSV Eindhoven - Zenit
Liverpool - Beşiktaş
Tottenham - Fiorentina
Celtic – Inter
Mechi za kwanza zitachezwa tarehe 19 Februari 2015 na mechi za marudiano zitachezwa tarehe 26 Februari 2015
No comments:
Post a Comment