Millard
Ayo Koffi Olomide na Ben Kinyaiya kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu JK
Nyerere Dar es salaam decemba 14 saa saba na nusu usiku, Koffi Olomide
amekuja Tanzania kupiga show mbili moja Leaders Dar decemba 15 2012 na
16 decemba Mwanza ambapo zote zimeandaliwa na Primetime promotions.