Tuesday, December 18, 2012

Obama calls incoming Japan PM, close ties stressed

obama1 400TOKYO: US President Barack Obama spoke to Japan's incoming prime minister Shinzo Abe, with both sides stressing the importance of close ties, the White House said.

Abe, a former prime minister who is the head of the conservative opposition Liberal Democratic Party, and Obama "reaffirmed the importance of the US-Japan alliance as the cornerstone of peace and security in the region", it said.

"The president and Mr Abe discussed ongoing efforts to enhance bilateral security cooperation as well as deepening economic ties," White House spokesman Jay Carney said in a statement.

"They also agreed on the importance of close US-Japan cooperation on pressing regional and global issues."

Abe's LDP crushed the ruling Democratic Party of Japan, led by Prime Minister Yoshihiko Noda, in Sunday's polls, promising that he would improve Tokyo's alliance with Washington in a bid to ensure stability in Asia Pacific.

In a face of a confident China, Abe said a closer link with the United States would serve as a foundation for Tokyo to gain stronger diplomatic influence.

After speaking with Obama, Abe Tuesday told officials at Japan's business lobby Keidanren that he would deepen Japan's only alliance, Jiji Press reported.

"I plan to tackle regional and global challenges together with the United States," he told them, according to Jiji.

Abe said Monday he wanted to go to the United States in late January, after Obama's new cabinet members start work, for his first foreign visit after taking office, expected on December 26.

Abe went to China for his first foreign visit during his 2006-2007 tenure as prime minister.


MAGAZETI YA TAREHE 18



.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

 

Monday, December 17, 2012

ALIYEDHANIWA AMEKUFA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI AFUNGA NDOA HAKIKA MUNGU NI MKUU




Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth  Mtebe mara tu baada ya kufunga pingu za maisha jana katika kanisa la Agape jakaranda jijini mbeya

Hii ndiyo ajali aliyopata bwana harusi emmanueli aligongwa na gari aina ya Toyota GX 100  Emmanuel yeye alikuwa anaendesha pikipiki usiku wa kuamkia jumamosi mida ya saa sita nanusu usiku alikuwa anaenda kwenye mkesha kanisani ndiyo ajali hiyo ikatokea maeneo ya mafiati mbeya wengi wa mashuhuda hao walijua mwendesha pikipiki hiyo amekufa papo hapo 
Hii ndiyo hali halisi iliyotokea siku hiyo ya ajali mbeya yetu tulifika usiku huo eneo la tukio na kukuta tayari majeruhi wametolewa na kupelekwa katika hospitali ya rufaa Mbeya ndipo jana tukaamua kufuatilia majeruhi hao na kukuta kuwa Emmanueli ameruhusiwa kwa muda akafunge ndoa kwani jana ilikuwa siku ya yeye kuoa ndipo tukaenda kufuatilia harusi hiyo  katika kanisa la agape 
Bwana harusi Emmanueli na mpambe wake Frank wakiingia kanisani
Hakika ni furaha hapa bwana harusi anamtambua mkewe kwa kumfunua shela kabla ya ndoa kufungwa
Sasa bana na bibi harusi wanaingia kanisani tayari kwa ibada ya ndoa
Mchungaji Emmanuel Mwasota toka E.A.G.T toka DSM ndiyo aliyofungisha ndoa hiyo
Hapa bwana harusi akimvisha mkewe pete  huku bibi harusi akiwa katika furaha kubwa na kumshukuru mungu kwa kumuepusha mumewe katika ajali iliyotokea
Hapa wakipata mibaraka ya ndoa kutoka kwa wachungaji mbalimbali wa kanisa hilo la AGAPE
Sasa tu mwili mmoja kitakachotutenganisha ni kifo tu jina la bwana libarikiwe
Bwana harusi akipokea cheti cha ndoa toka kwa mchungaji Mwasota

Wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa
Maharusi wakiwa na familia na wazazi wao
Sherehe fupi ya kuwapongeza maharusi ilifanyika katika bustani ya ccm jijini mbeya
Ndugu jamaa na marafiki walihudhuria sherehe hiyo ingawa maharusi hawakuweza fika kwenye sherehe hiyo kutokana hali yake haikuwa nzuri alihitaji kupumzika na kurejea tena hospitali kuendelea na matibabu


TEAM LINEUP AND RATINGS

Reading (vs) @[20669912712:274:Arsenal] - Probable Line Up

-Mo'ayad-

PICHA ZA SHOW YA KOFFI OLOMIDE MWANZA DEC 16 PAMOJA NA MSANII WA BONGO ALIEMVUTIA..



KOFI NA VIJANA WAKE ON STAGE CCM KILUMBA MWANZA.
Koffi Olomide akimtambulisha Rachel wa THT kwamba ni mmoja ya wasanii wa Tanzania waliemvutia kwenye show iliyofanyika CCM Kirumba Mwanza.
.
.
.
.
.
.
.
Vijana wa Koffi.
Koffi akiwasili.
H Baba.
Mussa Hussein kutoka CLOUDS FM/TV
Ben Kinyaiya Mussa Hussein kwa mbali pamoja na Suzzy Baltazary kutoka Clouds fm/Tv
Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Masoko SBL Ephraim Mafuru, Anitha Msangi Maurice Njowoka na Patrick Kisaka wakiwa CCM-Kirumba. (Picha zote zimepigwa na G SENGO wa gsengo.blogspot.com blog inayonifurahisha kwa kuwa fasta kwenye matukio yote yanayotokea Mwanza)