Showing posts with label Local news. Show all posts
Showing posts with label Local news. Show all posts

Sunday, January 25, 2015

Nigeria repels suspected Boko Haram attack on major city Maiduguri

    spected Boko Haram militants on Borno state capital Maiduguri in the northeast of the country, security sources said on Sunday.

Tanzania's energy minister quits over graft scandal, denies wrongdoing


     
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's Energy and Minerals Minister Sospeter Muhongo resigned on Saturday amid a graft scandal that has rocked the gas-rich country and led Western donors to delay aid, though he called himself "incorruptible" and denied wrongdoing.
   Muhongo became the third cabinet member, after the attorney general and the minister for land, to lose his job over the scandal, which involves the transfer of at least $122 million.
  

Tuesday, September 17, 2013

TCRA WAONGEA NA BAADHI YA WAMILIKI WA BLOGGERS HAPA NCHINI














 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
 Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma
 akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa 
wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati wa 
Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti
 tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo 
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu 
ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo 
la Sinza B,jijini Dar es Salaam.















Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano 
Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo
 wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa 
magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi 
leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la 
Sinza B,jijini Dar es Salaam.

























Mkurugenzi wa Sekta ya Washangiaji na Watoa Huduma
 wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Dkt. 
Raynold Mfungahema akiwasilisha mada wakati wa 
Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando 
(Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi
 wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano
 Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya Viongozi na Bloggers wakiwa wanafuatilia kwa 
umakini Mafunzo












 Sehemu ya Wapiga Picha kutoka Vyombo mbali 
mbali vya habari wakiendelea na zoezi la kuchukua
 matukio mbali mbali wakati wa Warsha ya siku mbili 
kwa wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) hapa 
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano 
wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,
Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.













 Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini  wakiwa 
kwenye Warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi leo 
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza 
B,jijini Dar es Salaam.




Muhudin Issa Michuzi aliye vaa suti Nyeusi
 akifuatilia kwa umakini Mafunzo kwa ajili ya Bloggers.
















 Kutoka Kulia ni Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu
 Blog Joesph Mwaisango akiwa na Blogger Rashid 
Mkwinda wakifuatilia kwa umakini mafunzo















 Baadhi ya Bloggers wakifuatilia Jambo kwa umakini














Kutoka kushoto ni Fredy Anthony ambaye anatokea
 Blogs za Mikoa pamoja na Muwakilishi wa Full Shangwe
 Blog














Kutoka kushoto ni Dotto Kahindi kutoka Blog ya Tabia N
chi akiwa na Adela Kavishe
















 Mkurugenzi wa Google Africa Joe Mucheru akitoa 
mada wakati wa Mafunzo kwa Bloggers 














 Mmoja ya watoa Maada katika Maswala ya Mitandao 
ya Kijamii Liz Wachuka akizungumza jambo wakati 
wa Mafunzo kwa Bloggers.















 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano 
Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akijibu 
Maswali ambayo yaliulizwa na Bloggers wakati 
wa semina hiyo















 Meza kuu wakifuatilia Mada kwa umakini 















 Liz Wachuka Akijibu maswali yaliyo ulizwa na Bloggers

 Afisa Habari wa TCRA Doris Saivoye  akizungumza 
Jambo wakati wa Mafunzo kwa Bloggers.
Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu Blog Joseph Mwaisango 
akisaliiana na Blogger Mkongwe Mwana Libeneke
 Muhidin Issa Michuzi 














 Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Google
Afrika akisalimiana na Muhidin Issa Michuzi













Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma wa pili 
kutoka kushoto pamoja na Baadhi ya Bloggers.













Baadhi ya Bloggers wakiwa katika jengo la Mawasiliano 
Tanzania Baada ya Mafunzo katika siku ya kwanza.

Tuesday, August 20, 2013

kiongozi mkuu wa Ahmadiyya nchini Tahir Mahmood

 Chaudhry awasili jijini Mbeya

Mwenyeji wa Amir -Mahmood, Missionary wa
 Kanda ya nyanda za juu kusini Basharat
 Rahman akimpokea mkeni wake katika
 kiwanja cha ndege Songe mkoani Mbeya 


Amir-Jamaat Ahmadiyya Tanzania,
 Tahir Mahmood Chaudhry akisalimiana
 na waumini wake waliokuja kumpokea
 katika kiwanja cha ndege songwe Mbeya 


Mara baada ya kupokewa mgeni huyo alipata
 mud wa kuongea na waandishi wa habari wa
mkoa wa mbeya katika ukumbi wa Mbeya
 Hotel jijini Mbeya


Abdulrahman Mohamed  katibu wa ziada
 akimkaribisha mgeni rasmi kuongea na
 wanahabari wa mkoa wa Mbeya

Amir-Jamaat Ahmadiyya Tanzania, Tahir Mahmood
 Chaudhry akiongea na waandishi wa habari wa mkoa
 wa Mbeya juu ya ujio wake wa kuwa na mkutano wa
 amani jijini mbeya utakaofanyika kesho


Baadhi ya waumini wa jumuiyawahamadia na
waandishi wa habari wakimsikiliza kiongozi huyo


Rashid Mkwinda mwandishi wa habari akimuuliza
 swali kiongozi huyo wa waahamadia

Picha na Mbeya yetu

JUMUIYA YA WAISLAMU WAAHMADIYYA MBEYA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUFANYIKA KWA MKUTANO WA AMANI MJINI MBEYA


Amir-Jamaat Ahmadiyya Tanzania, Tahir Mahmood Chaudhry


Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Mkoa wa Mbeya
 itafanya mkutano wenye lengo la kuzungumzia mchango
 wa dini katika kuleta amani ya taifa na dunia kwa ujumla.
Mkutano huo utafanyika siku ya Jumanne
 tarehe 20/08/2013 katika ukumbi wa mikutano wa
 Benjamin Mkapa kuanzia saa kumi Alasiri. Inshallah.

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anatarajiwa 
kuwa mgeni rasmi katika mkutano huo. Aidha
 viongozi na watendaji kadhaa wa serikali katika
 ngazi mbalimbali mkoani Mbeya pamoja na viongozi
 wa Jumuiya za kidini na asasi sisizo za kiserikali
 wamealikwa kwenye mkutano huo, na baadhi 
yao watapata nafasi ya kuzungumza katika mada
 hiyo muhimu.
Jumuiya ya Waisamu Waahmadiyya inauona mkutano
 wa aina hii kuwa ni muhimu hasa katika kipindi hiki
 ambacho taifa letu linapita katika wakati mgumu
 wa mivutano baina ya wanadini wenyewe kwa 
wenyewe na wakati mwingine na serikali.

Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya ambayo ni
 Jumuiya ya kimataifa ilianzishwa na Seyyidna
 Mirza Ghulam Ahmad a.s. katika kijiji cha Qadiani
 India mnamo mwaka 1889 kufuatia wahyi
 alioupokea kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwamba
 amemtuma ili kuwa Masihi na Imam Mahdi wa
 zama zetu. Hapa nchini Jumuiya ya Ahmadiyya 
ilisajiliwa rasmi mwaka 1934.

Tangu kusajiliwa kwake pamoja na kujihusiaha 
na masuala ya kueneza dini ya Kiislam
 kwa amani, Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya
 imesaidia kukuza Lugha ya Taifa kwa kutoa tafsiri 
ya kwanza ya Qu’ran Tukufu kwa Kiswahili mwaka 1953.
 Jumuiya pia inajihusisha na utoaji wa hudum aza
 kijamii na misaada ya kibinadamu kila inapowezekana
 hasa kupitia shirika lake la Kimataifa Humanity First.
 Jumuiya imeweza kusaidia katika ukarabati wa
visima vya maji safi vipayavyo 50 kwenye maeneo
 mbalimbali nchini katika kipindi cha miaka miwili 
iliyopita. Pia misaada ya vifaa vya maabara, kompyuta,
 mabegi ya shule, kalamu na madaftari ya kuandikia 
yametolewa kwenye shule kadhaa nchini yakilenga
 zaidi maeneo ya wanaohitaji. Kwa sasa Jumuiya ya 
Waislamu Waahmadiyya duniani inaongozwa na
 Khalifa wa Tano wa Masihi aliyeahidi Hadhrat
 Mirza Masroor Ahmad a.t.b.a. huku ikiwa na matawi 
yake katika nchi 202 duniani.  
Wassalaam;
________________
Tahir Mahmood Chaudhry
AMIR – JAMAAT AHMADIYYA TANZANIA