Wednesday, October 31, 2012

AZAM YAMTIMU KOCHA WAO

AZAM FC YAMTIMUA KOCHA WAKE BORIS BUNJAK



Kocha wa Azam FC mserbia Boris Bunjak ametimuliwa rasmi kuifundisha timu hiyo.

Taarifa rasmi nilizozipata kutoka ndani ya klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya VPL zinasema kwamba kocha huyo aliyesaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha Azam mwezi nane mwaka huu ametimuliwa na sasa viongozi wa klabu hiyo wapo katika harakati za kutaka kumrudisha kocha wao wa zamani Muingereza Stewart Hall.

Hatua hii imekuja siku mbili baada ya Azam FC kufungwa 3-1 na Simba katika mechi ya ligi kuu.




No comments: