Wednesday, October 31, 2012

CHEKI VIJANA WA SIMBA WAKIWA MAZOEZINI HUKO JAMHURI HAPO JANA






EMMANUEL OKWE KUSHOTO AKIPIMANA UBAVU NA FELIX ZUNZU WAKATI WA MAZOEZI YA KLABU YA SIMBA KWA AJILI YA MCHEZO BAINA YA TIMU HIYO NA POLISI MORO SC KATIKA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA JIONI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.



DANIEL AKUFF (KATIKATI) AKIWA AMENYANYUA DALUGA WAKATI AKIWANIA MPIRA DHIDI YA AMRI KIHEMBA KULIA HUKU HARUNA SHAMTE AKIUPIGIA MAHESABU MPIRA HUO.

UHURU SELEMAN (16) AKITAFUTA NAMNA YA KUWATOKA WACHEZAJI WENZAKE MWINYI KAZIMOTO.


WACHEZAJI WAKIOMBA DUA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MAZOEZI.


MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA WAKINGALIA MAZOEZI YA KLABU HIYO.



KIKOSI cha simba leo kimefanya mazoezi katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro nakuwa kivutio zaidi kwa wakazi wa Morogoro ambao walijitokeza kwa wingi uwanjani hapo.

Simba ipo mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo dhidi ya Polisi Moro na ipo full kwa mchezo huo utakaopigwa kesho

No comments: