Wednesday, November 28, 2012

MTANGAZAJI WA REDIO BOMBA FM MBEYA CLEMENCE MPEPO AFARIKI DUNIA


TANGAZO: KWA MASIKITIKO MAKUBWA UONGOZI WA REDIO BOMBA FM, UNATANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI MWENZAO CLEMENCE MPEPO "MZEE WA MAKABILA" ALIYEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI. KWA TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUWAFAHAMISHA JUU YA UTARATIBU WA MAZISHI NA PIA ENDELEA KUSIKILIZA REDIO BOMBA FM

No comments: