Monday, December 24, 2012

Je Unafikiri Tanzania tumejiandaa kiasi cha kutosha kubadili mfumo wetu wa matangazo ya TV kuwa Digitali kuanzia January 01, 2013? Je wewe mwananchi unaelewa nini unaposikia eti tunahamia Digitali? Unazijua faida zake?


5CONNECT (01:00Usiku): Je Unafikiri Tanzania tumejiandaa kiasi cha kutosha kubadili mfumo wetu wa matangazo ya TV kuwa Digitali kuanzia January 01, 2013?

Je wewe mwananchi unaelewa nini unaposikia eti tunahamia Digitali? Unazijua faida zake?

Leo tutakuwa na wahusika kutoka TCRA, wataondoa utata wote ulionao.

####Weka  maswali yako yote hapa ili yajibiwe#####

Itakuwa ni LIVE!!! Karibu.

No comments: