MAKABURI YA ZAIDI YA MAHABUSU 16 WALIOKUFA KWA KUKOSA HEWA MBARALI 2002 YATELEKEZWA NA KUGEUZWA DAMPO LA TAKA TAKA ISANGA MBEYA
Hii ndiyo hali halisi ya makaburi walimozikwa mahabusu zaidi ya 16 waliokufa kwa kukosa hewa Mbarali mwaka 2002 na kuzikwa Mbeya katika makaburi ya isanga |
Makaburi yayo sasa yamegeuzwa kuwa dampo la takataka huku wahusika wakiangalia bila ya kuchukua hatua yeyote |
Kwa ujumla haya ndiyo makaburi ya mahabusu zaidi ya 16 kwa sasa wala hayaonekani kabisa |
Hili ni eneo la makaburi ya isanga na ndipo yapo makaburi ya mahabusu waliozikwa hapo mwaka 2002 |

No comments:
Post a Comment