Ponda Dar mpaka Moro kwa
Helikopta
Helikopta ya polisi iliyombeba Katibu wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania,
Sheikh Ponda Issa Ponda ikiwa katika Uwanja wa Gymkhana mkoani Morogoro
baada ya kumfikisha kiongozi huyo kwa ajili ya kupelekwa kusomewa mashtaka
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani humo jana.
No comments:
Post a Comment