Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma
akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa
wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati wa
Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti
tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu
ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo
la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo
wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa
magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi
leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la
Sinza B,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Sekta ya Washangiaji na Watoa Huduma
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Dkt.
Raynold Mfungahema akiwasilisha mada wakati wa
Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando
(Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi
wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi na Bloggers wakiwa wanafuatilia kwa
umakini Mafunzo
Sehemu ya Wapiga Picha kutoka Vyombo mbali
mbali vya habari wakiendelea na zoezi la kuchukua
matukio mbali mbali wakati wa Warsha ya siku mbili
kwa wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) hapa
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano
wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,
Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini wakiwa
kwenye Warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi leo
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza
B,jijini Dar es Salaam.
Muhudin Issa Michuzi aliye vaa suti Nyeusi
akifuatilia kwa umakini Mafunzo kwa ajili ya Bloggers.
Kutoka Kulia ni Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu
Blog Joesph Mwaisango akiwa na Blogger Rashid
Mkwinda wakifuatilia kwa umakini mafunzo
Baadhi ya Bloggers wakifuatilia Jambo kwa umakini
Kutoka kushoto ni Fredy Anthony ambaye anatokea
Blogs za Mikoa pamoja na Muwakilishi wa Full Shangwe
Blog
Kutoka kushoto ni Dotto Kahindi kutoka Blog ya Tabia N
chi akiwa na Adela Kavishe
Mkurugenzi wa Google Africa Joe Mucheru akitoa
mada wakati wa Mafunzo kwa Bloggers
Mmoja ya watoa Maada katika Maswala ya Mitandao
ya Kijamii Liz Wachuka akizungumza jambo wakati
wa Mafunzo kwa Bloggers.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akijibu
Maswali ambayo yaliulizwa na Bloggers wakati
wa semina hiyo
Meza kuu wakifuatilia Mada kwa umakini
Liz Wachuka Akijibu maswali yaliyo ulizwa na Bloggers
Afisa Habari wa TCRA Doris Saivoye akizungumza
akisaliiana na Blogger Mkongwe Mwana Libeneke
Muhidin Issa Michuzi
Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Google
Afrika akisalimiana na Muhidin Issa Michuzi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma wa pili
kutoka kushoto pamoja na Baadhi ya Bloggers.
Baadhi ya Bloggers wakiwa katika jengo la Mawasiliano
Tanzania Baada ya Mafunzo katika siku ya kwanza.
No comments:
Post a Comment