Peter
Msechu amekua Marekani toka july 2012 ambako alikwenda kwa shughuli
moja tu ambayo ilimfungulia milango na kupada dili zilizomuweka huko kwa
miezi mitano, leo atazungumza yote kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM
kuanzia saa moja kamili usiku mpaka saa tatu.
No comments:
Post a Comment