Thursday, December 13, 2012
KAULI YA CHADEMA KUHUSU MAGUFULI KUMPIGIA DEBE ODINGA KENYA.
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia CHADEMA kimeitaka Serikali kutolea ufafanuzi suala
la WazirI wa ujenzi Dr. John Magufulu kuhudhuria Sherehe za
kutambulishwa kwa mgombea urais chama cha ODM Kenya Raila Odinga endapo
suala hilo lina uhusiano wowote wa Kiserikali.
Mkurugenzi wa mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Ezekiel Wenje amesema kitendo cha waziri huyo kuhudhuria sherehe za kutambulishwa wa Raila kinatoa picha mbaya ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Kenya iliyopo Madarakani kutokana na ushirikiano wa muda mrefu kati ya serikali hizo.
kwenye sentensi nyingine Wenje amesema Magufuli kupanda jukwaani kuanza kumnadi kiongozi wa ODM ni ukiukwaji wa kanuni na taratibu za kimataifa ambapo amedai kwa mujibu wa kanuni za Umoja wa mataifa ni kosa kubwa Taifa moja kuingilia siasa za Taifa jingine hata kama hayo mataifa yanaushirikiano wowote.
Mkurugenzi wa mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Ezekiel Wenje amesema kitendo cha waziri huyo kuhudhuria sherehe za kutambulishwa wa Raila kinatoa picha mbaya ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Kenya iliyopo Madarakani kutokana na ushirikiano wa muda mrefu kati ya serikali hizo.
kwenye sentensi nyingine Wenje amesema Magufuli kupanda jukwaani kuanza kumnadi kiongozi wa ODM ni ukiukwaji wa kanuni na taratibu za kimataifa ambapo amedai kwa mujibu wa kanuni za Umoja wa mataifa ni kosa kubwa Taifa moja kuingilia siasa za Taifa jingine hata kama hayo mataifa yanaushirikiano wowote.
Swansea reach League Cup semi
Swansea City reach the semi-finals of the League Cup for the first time in their history after a Middlesbrough own goal.
Wenger 'will get transfer boost'
Arsenal boss Arsene Wenger has "considerable resources" to spend during January, the Supporters' Trust are told.
KAULI YA FAMILIA YA MAREHEMU SHARO MILIONEA KUHUSU SAUTI YA SHARO KUENDELEA KUTUMIKA KWENYE TANGAZO LA AIRTEL
Posted: 13th December 2012 by Baraka in News
Ni watu wengi wamehitaji
kufahamu kuhusu kauli ya familia ya Marehemu mwigizaji/msanii Sharo
Milionea baada ya tangazo la Airtel lenye sauti yake kuendelea kutumiwa
na kampuni hiyo wiki kadhaa baada ya Sharo kufariki kwa ajali ya gari
iliyotokea novemba 26 2012 Tanga.Mjomba wa Marehemu ambae ndio msemaji wa familia Shaban Mkiete amethibitisha kwamba wamezungumza na kukubaliana na kampuni ya Airtel na hapa namkariri akisema “ni kweli tumekubaliana, kwa mujibu wa makataba wao lilikua linaisha terehe 31 mwezi huu tumekubaliana kwamba liendelee kwa makubaliano ambayo tumekubaliana nayo sisi kati ya mzee Majuto ambae bado yupo na familia ya Marehemu, mama mzazi wa Sharo Milionea ameridhia hilo hakuna tatizo”
Siku ya msiba millardayo.com ilipopata nafasi ya kuongea na mwakilishi wa Airtel alisema Marehemu Sharo Milionea alifariki ndani ya kipindi cha miezi 6 tu toka asaini dili la kuwa balozi wa Airtel na kufanya matangazo mbalimbali yeye na mzee Majuto.
Sio tu dili la Airtel, imefahamika tayari Sharo Milionea alikua amesaini mikataba mizuri na makampuni mbalimbali wakiwemo Wamarekani waliotengeneza filamu maarufu Afrika kama Yellow Card, Neria na nyingine ambapo kwa sasa Wamarekani hao wako hapa Tanzania na wametengeneza series kadhaa ikiwemo Wahapahapa na Siri ya Mtungi ambayo ndio Sharo Milionea kashiriki ndani na mpaka anafariki tayari alikua ameshaanza kucheza igizo hilo.
Unaweza kumsikiliza mjomba wa Marehemu akiongea hapo chini.
HAYA NDIO MAGAZETI YA DEC 13 2012, UDAKU MICHEZO NA HARDNEWS.
Posted: 13th December 2012 by Baraka marwewre in News
Arab uprisings
Syrian refugees dream of home
The BBC's Fergal Keane meets some of many thousands of Syrian refugees living in cramped conditions in neighbouring Lebanon.Background
Special Reports
Thursday, December 6, 2012
VIJANA WA MJI MDOGO MBALIZI MBEYA WILAYANI MBEYA VIJIJINI WAFANAYA USAFI WA KUZIBUA MIFEREJI NA KUTENGENEZA BARABARA
VIJANA WA MJI MDOGO MBALIZI MBEYA WILAYANI MBEYA VIJIJINI WAFANAYA USAFI WA KUZIBUA MIFEREJI NA KUTENGENEZA BARABARA
Hakika vijana wa Mbalizi tuwape pongezi kwa kazi nzuri wanayoifanya kwani ni vijana wachache sana wanaojitolea kufanya kazi hizo za usafi wa kujitolea |
Mweshimiwa diwani akikagua kazi inayoendelea ya kuzibua mifereji na kutengeneza barabara |
TANZANIA ONE NEWS |
kazi inaendelea |
TANZANAI ONE NEWS |
TANZANIA ONE NEWS |
Mweshimiwa diwani hakuwa nyumba katika kuwasaidia vijana |
TANZANIA ONE NEWS |
Kwenye kazi utani pia upo ili kazi iende vizuri dada na kaka wanataniana |
TANZANIA ONE NEWS |
Safi sana vijana wa Mbalizi |
TANZANIA ONE NEWS |
Mratibu wa Vijana wazalendo wa mji wa Mbalizi Gordon Kalulunga,akiwa na kiongozi mwenzake wakifurahia jinsi kazi inavyoendelea |
TANZANIA ONE NEWS |
Hali halisi ya mifereji ya mbalizi ni hii sasa vijana ndiyo wanaizibua |
TANZANIA ONE NEWS |
Baada ya kuzibuliwa kwa ujumla mbeya yetu tunawapongeza sana vijana wa mbalizi kwa umoja wenu tunaomba na vijana wengine muige mfano huo wa kujitolea kufanya usafi zoezi la usafi litaendelea kesho |
VYANDARUA KUTUMIKA KAMA MIFUKO YA KUSAFIRISHIA BIDHAA HUKO MBEYA.
VYANDARUA VYATUMIKA KUSAFIRISHIA CHUPA CHAKAVU MBEYA
TANZANIA ONE NEWS |
Chupa chakavu zikiwa zimefungwa vizuri katika vyandarua tayari kwa kusafirishwa kwenda DSM |
TANZANIA ONE NEWS |
TANZANIA ONE NEWS hatuna maneno tumejionea wenyewe na wewe ona sasa toa maoni yako |
TANZANIA ONE NEWS |
Bonge la mzigo limefungwa kisawasawa tayari kwa kusafirishwa |
TANZANIA ONE NEWS |
Chandarua kazini |
Subscribe to:
Posts (Atom)