Tuesday, December 25, 2012
TAMASHA LA TUSKER CARNIVAL MBEYA LAHUDHURIWA NA WATU WASIOZIDI 20
HAWA NI BAADHI YA MSHABIKI WALIOHUDHURIA TAMASHA HILO |
ALLY CHOKI AKIWA NA VIJANA WAKE AKITUMBUIZA BAADHI YA WATU WALIOFIKA KATIKA TAMASHA HILO |
MAPACHA WATATU WAKITUMBUIZA UWANJANI HAPO |
HALI HALISI INAONEKANA UWAJANI HAPO |
BAADHI YA WAPENZI WA EXTRA BONGO WAKIONGEA NA ALLY CHOKI UWANJANI HAPO Picha na Mbeya yetu |
Monday, December 24, 2012
Wednesday, December 19, 2012
Zambia plans four friendlies ahead of 2013 AFCON
The African Cup of Nations (AFCON)
defending champions, the Chipolopolo of Zambia, has lined up four
friendly games ahead of the 2013 Africa Cup of Nations (AFCON) in South
Africa.
The team is scheduled to play four
warm-up matches against Tanzania, Swaziland, Morocco and Namibia, before
their first Group C match against Ethiopia on January 21.
Zambia is grouped along with the Super Eagles of Nigeria, Ethiopia and Burkina Faso at the Mbombela Stadium in Nelspruit.
Zambia’s first friendly match would be against a non qualified team for AFCON, Tanzania in Dar es Salaam at the weekend.
The team would later proceed on a short Christmas break after the Tanzanian game.
The Chipolopolo would then resume the
camping in South Africa after the Christmas break in January, before
playing the friendly against two non qualified teams, Swaziland and
Namibia in Nelspruit.
The last friendly match would be against Morocco, one of the teams for AFCON in Johannesburg.
Coach Herve Renard considered the friendly games key in the team’s preparation ahead of the start of the tournament.
``These matches will sharpen us as our
first Cup of Nations fixture against Ethiopia is very important. It is
crucial to start the tournament well,’’ Renard added.
MAKABURI YA ZAIDI YA MAHABUSU 16 WALIOKUFA KWA KUKOSA HEWA MBARALI 2002 YATELEKEZWA NA KUGEUZWA DAMPO LA TAKA TAKA ISANGA MBEYA Hii ndiyo hali halisi ya makaburi walimozikwa mahabusu zaidi ya 16 waliokufa kwa kukosa hewa Mbarali mwaka 2002 na kuzikwa Mbeya katika makaburi ya isanga Makaburi yayo sasa yamegeuzwa kuwa dampo la takataka huku wahusika wakiangalia bila ya kuchukua hatua yeyote Kwa ujumla haya ndiyo makaburi ya mahabusu zaidi ya 16 kwa sasa wala hayaonekani kabisa Hili ni eneo la makaburi ya isanga na ndipo yapo makaburi ya mahabusu waliozikwa hapo mwaka 2002
MAKABURI YA ZAIDI YA MAHABUSU 16 WALIOKUFA KWA KUKOSA HEWA MBARALI 2002 YATELEKEZWA NA KUGEUZWA DAMPO LA TAKA TAKA ISANGA MBEYA
Hii ndiyo hali halisi ya makaburi walimozikwa mahabusu zaidi ya 16 waliokufa kwa kukosa hewa Mbarali mwaka 2002 na kuzikwa Mbeya katika makaburi ya isanga |
Makaburi yayo sasa yamegeuzwa kuwa dampo la takataka huku wahusika wakiangalia bila ya kuchukua hatua yeyote |
Kwa ujumla haya ndiyo makaburi ya mahabusu zaidi ya 16 kwa sasa wala hayaonekani kabisa |
Hili ni eneo la makaburi ya isanga na ndipo yapo makaburi ya mahabusu waliozikwa hapo mwaka 2002 |
Hii ndiyo hali halisi ya makaburi walimozikwa mahabusu zaidi ya 16 waliokufa kwa kukosa hewa Mbarali mwaka 2002 na kuzikwa Mbeya katika makaburi ya isanga |
Makaburi yayo sasa yamegeuzwa kuwa dampo la takataka huku wahusika wakiangalia bila ya kuchukua hatua yeyote |
Kwa ujumla haya ndiyo makaburi ya mahabusu zaidi ya 16 kwa sasa wala hayaonekani kabisa |
Hili ni eneo la makaburi ya isanga na ndipo yapo makaburi ya mahabusu waliozikwa hapo mwaka 2002 |
Subscribe to:
Posts (Atom)