kiongozi mkuu wa Ahmadiyya nchini Tahir Mahmood
Chaudhry awasili jijini Mbeya
Mwenyeji wa Amir -Mahmood, Missionary wa
Kanda ya nyanda za juu kusini Basharat
Rahman akimpokea mkeni wake katika
kiwanja cha ndege Songe mkoani Mbeya
|
Amir-Jamaat Ahmadiyya Tanzania, Tahir Mahmood Chaudhry akisalimiana na waumini wake waliokuja kumpokea katika kiwanja cha ndege songwe Mbeya |
Mara baada ya kupokewa mgeni huyo alipata mud wa kuongea na waandishi wa habari wa mkoa wa mbeya katika ukumbi wa Mbeya Hotel jijini Mbeya |
Abdulrahman Mohamed katibu wa ziada akimkaribisha mgeni rasmi kuongea na wanahabari wa mkoa wa Mbeya |
Amir-Jamaat Ahmadiyya Tanzania, Tahir Mahmood Chaudhry akiongea na waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya juu ya ujio wake wa kuwa na mkutano wa amani jijini mbeya utakaofanyika kesho |
Baadhi ya waumini wa jumuiyawahamadia na waandishi wa habari wakimsikiliza kiongozi huyo |
Rashid Mkwinda mwandishi wa habari akimuuliza swali kiongozi huyo wa waahamadia |
Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment